UA-143006558-1
0 comments
    No comments found
Description

Nipe chenchi is a vibe song that express how our relationship went and how these Marioo trying to collapse with sponsors.
The song was recorded at NGT RECORD and produced by Plain Flavour.

Lyrics

Chorus.
Akituma na ya kutolea, nipe chenchi,
Mmmh usijibanebane,nipe chenchi,
Mke hanenepi kwa mbole, nipe chenchi,
Utauziwa mbuzi kwa gunia, keep your chenchi

Ayiii nipe chenchi, no no no no no keep your chenchi x2
Verse.
Ety sponsor huku kitambi kinaisha, bora upambane tu na shida za maisha, ukimpa moja mbili tatu namfikisha,
Na hapo ndo unakua umenisaidia me maishaAhhaha
Afu yaan...
Kiuno laini kama toto la kikongo, nampa safi sichafui na mkongo,
Bukoba maji nshazamia huu mchongo, Naibukia pwani ni mtanga so mgogo

Chorus 2.
Ajifanya ajua hudumia, nipe chenchi,
Kisurasura cha mapenzi, nipe chenchi,
Body builder engineer, nipe chenchi,
Mkandarasi wa mapenzi, keep your chenchi,

Ayiiiii nipe chenchi, no no no no keep your chenchi x2

Afu mnafeli wapi (wapi), kamanga busisi,
Maana siwaelewi mnamenywa kama ndizi,
Hakutaki (hutakwi), wajikuta uncle nani,
Subiri kisigino kije kifanana na goti,

Akituma na ya kutolea nipe chenchi, mmmh usijibanebane,nipe chenchi,
Mke hanenepi kwa mbole, nipe chenchi,
Utauziwa mbuzi kwa gunia, keep your chenchi

Ayiii nipe chenchi, no no no no no keep your chenchi x2

::
/ ::

Queue